lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jay melody – acha wivu

Loading...

yeh oohoh

mmh ah oohoh

nimeenda beach nimeenda sinza eh
kila upande mi nipo nae

asa kwanini mwana upagawe

oh no au nimtupe sadakalawe

aaaah weeeeeh

acha wivu

nalewa nae simfanyii kitu

acha wivu

ah weeeeeeeh

acha wivu

nacheza nae simfanyii kitu
acha wivu

ah sema one two three

tikisa kichwa my g

vitu lukuki

tikisa kichwa my g

i say g g g g

tikisa kichwa my g

piga bunduki

tikisa kichwa my g

nipeleke police au niroge niwe chizi

uwe peace au vipi

sa mbona unajimix

nipeleke police au niroge niwe chizi
uwe peace au vipi

sa mbona unajimix

aaaah weeeeeh

acha wivu

nalewa nae simfanyii kitu

acha wivu

ah weeeeeeeh

acha wivu

nacheza nae simfanyii kitu

acha wivu

ah sema one two three

tikisa kichwa my g

vitu lukuki
tikisa kichwa my g

i say g g g g

tikisa kichwa my g

piga bunduki

tikisa kichwa my g

nipeleke police au nirogе niwe chizi

uwe peacе au vipi

sa mbona unajimix


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...