lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu jabali afrika – mashindani

Loading...

walimwengu wana mambo
kunao wa kujenga
wakubomoa hawakosi
wasiopenda maendeleo
desturi su su su su
mwenzako kakosa nini
na mbona k~mchimba
mwenzako kafanya nini
na mbona kujipima

kusema watasema (watasema yee)
mwisho watachoka (watalala)
misemo haiui (eyeyeye)
ni baraka (aaaah)
kusema watasema (watasema yee)
mwisho watachoka (watalala)
misemo haiui (eyeyeye)
ni baraka (aaaah)

jirani kanunua gari
na wewe kanunua
mashindani ni ya nini
shughulika na yako
baraka tofauti
haziwezi kufanana
sisi zote tofauti
muumba katuumba
hatuwezi kufanana
kusema watasema (watasema yee)
mwisho watachoka (watalala)
misemo haiui (eyeyeye)
ni baraka (aaaah)
kusema watasema (watasema yee)
mwisho watachoka (watalala)
misemo haiui (eyeyeye)
ni baraka (aaaah)

kusema watasema (watasema yee)
mwisho watachoka (watalala)
misemo haiui (eyeyeye)
ni baraka (aaaah)
kusema watasema (watasema yee)
mwisho watachoka (watalala)
misemo haiui (eyeyeye)
ni baraka (aaaah)
kusema watasema (watasema yee)
mwisho watachoka (watalala)
misemo haiui (eyeyeye)
ni baraka (aaaah)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...