lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu hitman kaht – kenya sihami

Loading...

wale wa west, wale wa west
wako wet drip (obado)
wale wa east kwa mabeast
betika bet slip (weh bet)
ujanja ya memes ni bundles (yeah)
ig hatuwezi wahandle (okay)
masponyo na mpango wa kando
wanacompete na maninja eastlando
(rada yao?)

kenya sihami (harambee)
kenya sihami (harambee)
kenya sihami (harambee)
kenya sihami (harambee)

nganya ngori ni kanambo
leo nafire shots ka rambo (twa twa)
baba yao agwambo
tangu za kale tangu kitambo

kenya sihami, ey ey (tibim)
kenya sihami, yeah ey (tibim)
kenya sihami, ey ey (tibim)
kenya sihami, yeah (tibim)

kenya sihami
si ndio hujenga adi nyumba kwa lami
usiniite mukami
ju sina mang’ombe namimi sikami
unaona kitambi
pole lakini ju mi naona ni tummy
nipatе nyumbani
nadishi mangoko hadi juu ya sahani
hukati makali
hushikishi kajaba na buda hunyanyi
we kenya uhame
ju huna wasupa na buda huhanyi
kazi ni kazi
kipaji ni kazi еpuka madwanzi
uza vibanzi ata kama ni mwitu kachonge viazi
usiringe ju wewe ni manzi
ushinde umepiga mapicha kejani
hujui kupika jameni
huwezi ongeza hata maziwa majani
kenya sihami (harambee)
kenya sihami (harambee)
kenya sihami (harambee)
kenya sihami (harambee)

nganya ngori ni kanambo
leo nafire shots ka rambo (twa twa)
baba yao agwambo
tangu za kale tangu kitambo

kenya sihami (tibim)
yeah
kenya sihami (tibim)
for real
kenya sihami (tibim)
for real
kenya sihami (tibim)

kenya si kw~ngu, kenya si kwako
lakini bado sihami
kenya ni ya rao, uhunye na ruto
wasitubebe madwanzi
street imejaza vituko
inabidi mi nibebange bangi
napatia msupa kiboko
kama ni pesa akasake mlami
kama una stress we kam tuive
bado niko ghetto choo ziko nje
nikiwa mtaani roho iko easy
but wanajua mi ni rong huko nje
must walipe wacha leo ras aringe
vijana wanataka marithe
mambang’a wanataka watuuzie
bora dishi na nichome kikolo
mi nitashinda nimezoza
mi naona wakenya wakishikana mikono
tunaeza kaiba pamoja
tripple xl ndio jacket kwa goro
ndo niwasundie mabidhaa
sikuwa nao uwongo
nilikuwa solo nikichomea pocha
wale wa west, wale wa west
wako wet drip (obado)
wale wa east kwa mabeast
betika bet slip (weh bet)
ujanja ya memes ni bundles (yeah)
ig hatuwezi wahandle (okay)
masponyo na mpango wa kando
wanacompete na maninja eastlando
(rada yao?)

kenya sihami (harambee)
kenya sihami (harambee)
kenya sihami (harambee)
kenya sihami (harambee)

nganya ngori ni kanambo
leo nafire shots ka rambo (twa twa)
baba yao agwambo
tangu za kale tangu kitambo

kenya sihami (tibim)
kenya sihami (tibim)
kenya sihami (tibim)
kenya sihami, ah (tibim)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...