lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize – niambie

Loading...

“niambie”
[verse 1]
hhhhmm hhhhmm
hhhhmm
mujini kipenzi silani shilingi baby
kupendana zamani ndo wanavyosemaga
wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby
wakishaviona vya ndani basi wanak-mwaga
ndo maana ah
ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga
nawaza asije mangi jirani akakuonga kilo ya unga aah
oooh oooh

[pre-chorus]
mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
bora nikuweke wazi yanini nikufiche gambe
tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande
niweke wazi nikipi kinafanya unipende

[chorus]
niambie
tell me baby love
ooh basi niambie
vipi unanipenda ingali sina doo
niambie
ooh basi niambie(ooh basi niambie)
tell me baby love
usije nitenda ukaniumiza roho
hhhhm (aiy)

[verse 2]
sikuhizi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi
usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
sijakuwekea ndumba umenipendea rhumba
vipi nikija kudunda oooh oooh
usije mgezea punda ukaniachia ngunga
wanak-mendea chunga oooh oooh

[pre-chorus]
mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande
bora nikuweke wazi yanini nikufiche gambe
tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande
niweke wazi ni kipi kinafanya unipende

[chorus]
niambie(tell me)
tell me baby love(tell me)
ooh basi niambie
vipi unanipenda ingali sina doo(tell me)
niambie
ooh basi niambie(tell me ooh basi niambie)
tell me baby love
usije nitenda ukaniumiza roho

umenipendea!!!! kipi mama(basi sema ) umenipendea ingali sina doo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...