lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize – never give up

Loading...

oooh nooh
lord have mercy
yeh yeh eeeeh
konde boy
let me tell u ma story
nimezaliwa mtwara tanzania
huko kijijini chitoholi
hapa mujini nimezamia
ndoto zilikuwa kucheza boli
mara ghafla kwa mziki zikahamia
my dady im sorry swala tano hukupenda uliposikia
kama utani si nikaanza kuimba
mungu si athuman nikakutana na simba
akanipiga kampani j-po kuna walionipinga kwamba sina kipaji
fitina za ndani ndani mara harmo anavimba
atapendwa na nani mmakonde wa tandahimba
nikajipa imani ipo siku nitashinda
mana mola ndo mpaji
eeeeeh

now i make my paper (my paper)
and i bless my family
pole walionicheka (nicheka)
enzi navaaga kandambili
soooo

never never never
never never never give up
never never never
usikate tamaa maana mungu anakuona
never never never
never never never give up
never never never
usikate tamaa angaika kila kona

i remember, mama told me “ma boy
binadamu hawana wema
watakuchekeaga usoni
ukiwapa kisogo wanakusema
usihifadhi chuki moyoni
yalipe mabaya kwa mema
jifanye huk-mbuki huyaoni
ndo maandiko yanavyosema”
nilimtanguliza mungu kwa swala
mara ghafla akaja mzungu sarah
aah
thank u my baby
you love me, you support me,i love u too
shoutout to my n-gg- jose wa mipango
jabulant chopa i got love for you
mnyama mkali buda na mchachambo
mwambie tunapita so mikono juu
najua maisha safari mi bado cjafikaga long way to go
ila naiona afadhali kulala uhakika na kula sio kama before
debe kwa azizi ally, mbagala, tandika, kimara na kariakoo
geto na kibatari, kiangazi, masikaaa, jua, mvua vyote vyakooo

now i make my paper (my paper)
and i bless my family
pole walionicheka (nicheka)
enzi navaaga kandambili
sooo

never never never
never never never give up
never never never
usikate tamaa maana mungu anakuona
never never never
never never never give up
never never never
usikate tamaa hangaika kila kona


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...