lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize – litakufa jitu

Loading...

h~llo world, it’s dj seven worldwide
countryboy, the father, bonga!

eyoo warrup khaligraph huku ni mazishi
watoto wanaitaka crown huku ni mtiti
si unaona wahuni tuko live maisha na mziki
ukiona tuna ~~ sio gangwe ni kijiti au vipi

tulianza kama utani seven, ngwengwe walikuwa hawataki
litakufa jitu baba waende wakanishtaki
sisikii siwaoni sura zao wameziweka wapi?
we kunja dada zako nawala kama mshikaki

goma la masela sema yoh yoh
nina watoto wakali sema yoh yoh
watoto kama wa masha wako loyal
ile woiyoo, woiyoo yoyoo

litakufa jitu! (sukari kwa presha)
litakufa jitu! (sukari kwa presha)
litakufa jitu! (sukari kwa presha)
litakufa jitu! (sukari kwa presha)

yoh, likifa tunalizika, hatulazagi damu
leo patachimbika, mitungo zam zam
bongo pass weed men i wanna get higher
walosema kawaida wanaona haya
pause i got money power, in my bank accounts
nyingine n~z~gawa, i don’t know amount
cheza nayo, cheza ni sumu kacheze ukuti
eeeh eh eh, kacheze ukuti
ukiona hapa gumu nina chupa la parachuti
eeeh еh eh, parachuti

(konde boy)

goma la masela sеma yoh yoh
nina watoto wakali sema yoh yoh
watoto kama wa masha wako loyal
ile woiyoo, woiyoo yoyoo

litakufa jitu! (sukari kwa presha)
litakufa jitu! (sukari kwa presha)
litakufa jitu! (sukari kwa presha)
litakufa jitu! (sukari kwa presha)

yeah, we bado uko plan a, mi niko ab mpaka z
kubonga bonga sana hizo mambo sif~gilii
k~mbe unawaza utoke mgonge nanilii
mwenzako naewaza mtv na bet

si unaona siku hizi mchizi navyo waka waka
nawaleta chini hoi nyaka nyaka
siwaachii kila track nawabaka baka
you know i be k!lling them m~th~f~cker
goma la masela sema yoh yoh
nina watoto wakali sema yoh yoh
watoto kama wa masha wako loyal
ile woiyoo, woiyoo yoyoo

litakufa jitu! (sukari kwa presha)
litakufa jitu! (sukari kwa presha)
litakufa jitu! (sukari kwa presha)
litakufa jitu! (sukari kwa presha)

we got money, we got power
we got everything, we got the world
ey yoh seven, let em’ die homie
is that you in the concent?
got you, you know what’s is this, aah!
look up it’s me baby

(oh my god it’s better sound)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...