lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu harmonize – best woman

Loading...

mmmh mmmh mmmh

cough cough cough

mara k~mi nifungwe jela miaka mingi kama mandela

ama nifiege huko huko bora nifiege huko huko

kuliko kukuona unateseka mum ukiteseka moyo unapata tabu

(cough)

kuna muda mwingine nakukera bhasi nakupoza navidera mitaa

na mazaga ya kariakoo na vitu vya baridi upozee koo yanaisha tunacheka

vimba mama ringa deka maana una kila sababu

hivi uliwezaje kila siku kunibeba kwa mgongoo nisijichafue na udongoo

ukanipangusa matongo tongoo aah mama aah mama i love you mama mama love you

mama penye nia pana njia namuomba mungu ndoto yangu ije timia

siku name niweze kuyafikia hata robo ya mazuri uliyonifanyia
i love you mama i love you mama mama love you

(cough)

man hakuna kama mama yangu mimi

mama ni mama

mama ni mama

mama ni mama

mama ni mama

mama ni mama

mama ni mama

mama ni mama

yani kuna mama na mama yangu mimi

mama ni mama

ooh mama
mama ni mama

i love you mama

mama ni mama

i love you mama

mama ni mama

i love you maaa

mama ni mama

maaaa

mama ni mama

mama ni mama

(cough)

its your birthday mama vaa pendeza hujazeeka acha kujiendekeza

wajukuu zako watakufundisha kucheza onja na kawine kama ukiweza mama
(ooh mama i love you)

(cough)

yeih

mama yangu wewe ni nguzo maisha mw~ngu taa imulikayo mbele yangu

maneno yako mama yanaongoza maisha yangu ooooh mama i love you mama

hivi uliwezaje kila siku kunibeba kwa mgongoo nisijichafue na udongoo

ukanipangusa matongo tongoo aah mama aah mama i love you mama mama love you

mama penye nia pana njia namuomba mungu ndoto yangu ije timia

siku name niweze kuyafikia hata robo ya mazuri uliyonifanyia

i love you mama i love you mama mama love you

hivi uliwezaje kila siku kunibeba kwa mgongoo nisijichafue na udongoo

ukanipangusa matongo tongoo aah mama aah mama i love you mama mama love you

mama penye nia pana njia namuomba mungu ndoto yangu ije timia

siku name niweze kuyafikia hata robo ya mazuri uliyonifanyia

i love you mama i love you mama mama love you

(cough)

man hakuna kama mama yangu mimi

mama ni mama

mama ni mama

mama ni mama

mama ni mama

mama ni mama

mama ni mama

mama ni mama

yani kuna mama na mama yangu mimi

mama ni mama

ooh mama

mama ni mama

i love you mama

mama ni mama

i love you mama

mama ni mama

i love you maaa

mama ni mama

maaaa

mama ni mama

mama ni mama

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...