lirik lagu govice – wivu
Loading...
aliumba dunia
kawaumba binadam
kayaumba na mapenzi
akaumba hisia
kamuumba awa na adam
toka enzi na enzi
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
na mkipost picha
instagramu status
hasira zanipanda juu
unapendeza sio kwa picha
shepu linajificha
sauti nzuri kama ya zuuh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu ressoluce – angéliques
- lirik lagu lost under heaven – shadowboxing
- lirik lagu lhls – fast lane / hated by everyone
- lirik lagu andrea del boca – feliz nochebuena, feliz navidad, felicidades
- lirik lagu squarside artist – слова
- lirik lagu savatage – this isn’t what we meant (acoustic version)
- lirik lagu dpamaqueeh, mikkei – fashion killer
- lirik lagu asteria – wiretappers!
- lirik lagu xnumblov – 01.sick.
- lirik lagu sigmun – devil in disguise