lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu goodluck gozbert – shukurani

Loading...

nina kushukuru mungu sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili

nina kushukuru mungu tena sababu ya vingi, hata nikiwa nasali unajua namaanisha

sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha na matendo yako makuu mimi mungu ningekulipa nini

ulikonitoa ni siri ya moyo w~ngu matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu

umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba

hata shukurani zangu ni kwako
shukrani zangu ni kwako
na shukurani zangu ni kwako
shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh

aibu umefuta fedheha umefuta
umenipa amani iliyo ya kweli nak~mbuka nalia mimi ni yule ambae

nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha habari yake kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea

ikiwa kwa siku za usoni walisema tun~z~ka kesho
ila kwa huruma uliniponya na kaburi kwa hurumaa na sitosahau wema wako wee baba

hata shukurani zangu ni kwako
shukrani zangu ni kwako
na shukurani zangu ni kwako
shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh

kama kusoma tumesoma wengi umeruhusu niwe na kazi nzuri
ajali tulipata wengi umeruhusu nibaki nauzima (asante baba)
ndoa zilifungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani
furaha wanakosa wengi umeruhusu tabasamu kw~ngu

na shukurani zangu
yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama, yelele
yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama yelele

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...