lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ghafla – zamani kama sasa

Loading...

bridge (g nako)
ulele lelelee
ghaflaa
yaani zamani kama sasa ×2

chorus (g nako)
ooh mama wewe
zamani kama sasa mi na wewe
naahidi sitokuacha ooh milele
niwe na wewe…yelele
ooh mama wewe
zamani kama sasa mi na wewe
naahidi sitokuacha ooh milele
niwe na wewe sheriii..yelelee

verse 1 (ghafla)
mbali tumetoka hatuijui favour
hatua kwa hatua hadi imekua vyema
kipindi mishe ngumu hatuijui camera
imejengwa toka chini uone picha vyema
i love what i see
uzuri haupungui tangu enzi simmalizi
au ni kizizi
nimеshikwa mi mwenzenu nikimuona nakuwa chizi
wo..wo.wait i see
sijakusahau muda ishu
sina madharau sina mbinu
nitakupa hata figo moyo wa huyu
sorry ig,s
hatupost picha zetu tunaficha id,s
haisadii
mtoto hana makuu wala hapеndi showbizz
maana game ngumu fame sumu humuhumu tunadumu tunapanda baby
maana promo za makiki haziishi huu mziki kwenye damu baby
mara unaomba show mara unaomba poo huo mchezo gani baby
popote unapokaa popote unapoenda tuwe wote tuongozane baby
chorus (g nako)

ooh mama wewe
zamani kama sasa mi na wewe
naahidi sitokuacha ooh milele
niwe na wewe sheriii..yelelee

verse 2 (ghafla)
posta hawatumi ipo email
vigoma havikufi ipo singeli
vipi ukiwa club haujiachii baby
maisha yenye mafupi huijui kesho
mungu anabariki tuna win daily
tunaufanya huu mziki utuletee cash
nikupe labda story ya kina b band?
kipindi live show kila weekend
sa hivi ni kopo
demu wako anaibuka amenicheki inbobo
sa hivi ni show show
mtaani ni kijiji dunia ni ndogo
sa hivi mitoko
watu wanatamba kwa hela ya mikopo
sa hivi bwamdogo
haiwezi kuwa zamani ila zamani kama sasa si unacheki mikogo

chorus (g nako)
ooh mama wewe
zamani kama sasa mi na wewe
naahidi sitokuacha ooh milele
niwe na wewe…yelele
ooh mama wewe
zamani kama sasa mi na wewe
naahidi sitokuacha ooh milele
niwe na wewe sheriii..yelelee
outro
its a blessing..its a bless on bless on bless×4
warawara


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...