lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ghafla – block za udongo

Loading...

chorus

tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo
tunaendesha hii mitaa ndio kwa manual
block za udongo ni a sio chicago
sisi ni walimu huku mtaa sisi ni mfano
tunafurahi tunaenjoy leo ni viw~ngo
ukiwa na watu we ni tajiri maisha yako

verse 1
narudi nyumbani narudi mitaa
najua nawindwa nalindwa na jah
nafurahi navaa nawaka balaa
mama akicheka nalia kwa furaha
nachana mikeka adui shangaa
na shanga nakata mrembo anakaa
ghafla ni star
taa ya mtaa
hatamu imefika ni muda wa shujaa
achana na mziki ninaoufanya haufanani na nafasi ninayowekwa
nashukuru kwa yote maana hakuna atujuaye vyema zaidi ya..(allah)

chorus

tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo
tunaendesha hii mitaa ndio kwa manual
block za udongo ni a sio chicago
sisi ni walimu huku mtaa sisi ni mfano
tunafurahi tunaenjoy leo ni viw~ngo
ukiwa na watu we ni tajiri maisha yako
ukiwa na watu bila shaka maisha unayo
natokea mtaa block za udongo mpaka kwako wewe
verse 2
fisadi ana sign epa
wanangu wana roll paper
wanangu wanaijua njaa
wanaujua msoto hivyo wanaukwepa
kicheche anadai pesa
anataka nimgaie u~famous
anataka nimrushe
si mpaka nimrushe
sitoi promo nikavae pampers
skendo natupa kwa juu
shukuru mungu aliye juu
kila siku ni nafuu
kila siku sikukuu
asante mungu we unanijua
baba mungu napumua
naendesha mtaa kama zimba flani chocho zote natifua
rap battlе freestyle onyesha uwezo kama tupo s.u.a
huku mziki huku mtaa kati mimi yеaah si unanijua
nagawa upendo ka salamu kuhusu msosi kwetu ni manuva
nazamisha meli bila muwa
tupo mtaa kaka mkubwa
nipo mtaani ninashtua
hustle kwenye jua mvua
nusu nusu mpaka nzima ikue
usiuze nafsi itakua
pasi pasi mpaka goli mkula
pafu pafu tunashtua
pasi pasi mpaka goli mkula
pafu pafu tunashtua..grrrr
chorus

tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo
tunaendesha hii mitaa ndio kwa manual
block za udongo ni a sio chicago
sisi ni walimu huku mtaa sisi ni mfano
tunafurahi tunaenjoy leo ni viw~ngo
ukiwa na watu we ni tajiri maisha yako
ukiwa na watu bila shaka maisha unayo
natokea mtaa block za udongo mpaka kwako wewe

outro (ghafla)
natokea mtaa block za udongo mpaka kwake wewe
tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo
dobe pro kss
muzik tanzania baby
mtaa
cut the beat off


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...