lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu femi one – rahisi

Loading...

verse: (femi one)

naskia fununu chemi chemi za mitaa
wameshindwa kunihandle wanasema femi’n star akuna news apa unoma mi inakw~nga imenifaa..
queen tangu roma ichukue league ya serie a ~

mkiwa juu ya kemikal na mashimi shimi ya skss skss minko rikoo nawapikia mabidhaa
mama yao nmelelewa na zakaa wa ukoo flan
mi ndo culture na ndo maana mi na wao hatsikilizan

naifanya easy uski nai fanya rahisi
game nimekafunga ndo ni shamba ya rizki uno ka nko ndani ujue inakw~nga mazishi
naikula, naikunywa na naiwasha na zigi

nak~mbuka tukikopa mapeni
leo naquote mamita kuwaroga wikendi
hii mchezo nilianzanga bila kocha na jezi
femi one mama theirs na nasonga vimessi

chorus ;

raisiiiii naifanya rahisi …

stingo zangu different kama jersey ya keeper
quality consistent cheki kazi inajipa
mashabik nna kibao unaeza dhani madiba
n’julikana sekta zote mashinani naskika ~
mr.punchlines, mi ni ka mandonga na strong hook
n’shakata mafala na manyoka kwa phone book
kateenager kako na title deed na log book
nyi mlikwa mnastikisha wasanii kwa song book (huh)

k~mechemka na your favourite star
trio mio, nani alidhani ningemake this far? ~
niliwaachia kalesa nimepull ndani ya kcr
the boy is sick wanafaa wan’peleke mp shah…

nak~mbuka tukisota madeni
leo nachapa interviews nabonga na wengi
mechi nilianzanga bila kocha na jezi kakijana machachari nawatoka vimessy ~

rahiiiiiiisi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...