lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu femi one – balance

Loading...

balance, fanya kama unaloose balance
(kaka empire is the lifestyle)
lose balance fanya kama unaloose balance
(bern music)
flossin mauwano vile nimejaza kwa streets
vijana na wababa wananitaka kwa sheets
class imepanda siku hizi nalipaga fees
nafanya hawalali wanakosa usingizi
freeze icecubes ndani ya glass yangu ya whiskey
kachoma ka wikendi tukishasuk~ma wiki
manoti mashilingi ka ginimbi na siringi
noma sana puliza firimbi

kachumbari haipashwi moto, haitaki joto
siku hizi tunalive it vile tuliona kwa ndoto
luku safi safi bila filter kwa mafoto
tunakesha kama waumini kama popo
haipashwi moto, haitaki joto
siku hizi tunalive it vile tuliona kwa ndoto
luku safi safi bila filter kwa mafoto
tunakesha kama waumini kama popo
check imebalance
check haijabounce imebalance
leo ni kama nitaloose manners
kata maji mpaka niloose balance
loose balance fanya kama unaloosе balance
loose balance fanya kama unaloosе balance
loose balance fanya kama unaloose balance
loose balance fanya kama unaloose balance
ka biz ya biz niko busy
box yako kuingia mimi never easy
roho yangu jaribu kuiba choma mwizi
chunga glass wanaweza seti vitu zinafanya ufeel dizzy
back to the mood, leo nina mpango ya k~marinate a dude
fanya tabia mbaya mi nafanya a feel good
femi fanya somebody son afeel cool
cool, cool like a cucumber
nawaroga na madoba kama mkamba
steam bado zin~z~di kupanda
mpaka juu anastand you can’t understand
if you stood under
like a cucumber
nawaroga na madoba kama mkamba
steam bado zin~z~di kupanda
mpaka juu anastand you can’t understand
if you stood under
shawn, check imebalance
check haijabounce imebalance
leo ni kama nitaloose manners
kata maji mpaka niloose balance
loose balance fanya kama unaloose balance
loose balance fanya kama unaloose balance
loose balance fanya kama unaloose balance
loose balance fanya kama unaloose balance
kikombe nataka kulewa leta kikombe
leta kikombe nataka kulewa leta kikombe
kikombe nataka kulewa leta kikombe
leta kikombe nataka kulewa leta kikombe


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...