lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ethan muziki – giza

Loading...

[intro]
he
madem
acha tu

kweli akina dada wamenionyesha giza
ama nilikosea labda w~n~lipiza

woi woi woi woi no no
story time, ethan muziki time

[verse 1]
nikiwa rima, nilipatana na msichana malaika
mrembo tukiwa pale umoja
tukitoka shule mikono pamoja

my first crush, we lost touch
high school nikapelekwa ocha
lakini bado niliwachocha, nikawachota

kuingia campo
nikasema nitasoma nitashindaga daro
asubuhi walevi kwenye mtaro
anasa na hizo pesa za karo
na bado nakimbizana na caro
silver tongue, nilipatiw~nga
lugha lazima angeitana
bingo, nimeshapata mama
ako singo, lakini condition

[pre~chorus]
anataka attention, anataka vacation
me niko na noti ya leo mbaka kesho
attention, tena vacation
hawezi kuwa naughty bila compensation

[chorus]
kweli akina dada wamenionyesha giza
ama nilikosea labda w~n~lipiza
kweli akina dada wamenionyesha giza
ama nilikosea labda w~n~lipiza

akina dada
giza
nilikosea

[verse 2]
nika~tarmac tarmac after campo
tafuta job acha story za warembo
oh no, it was never easy
hauwezi sample, wote umalize
i met so many ladies
tukakunywa pesa za deni
kama hausafishi nyumba
chunga usiite wageni

siku nyingi zikapita sana
kabla penzi ikabisha tena
huyo dem alinionyesha mambo
maisha hainga praco

dem wako ni wako akiwa kwako
akitoka anakuzungush~ga circle
sako kwa bako ako na mwenzako
wanacheza tapo

[pre~chorus]
anataka attention, anataka vacation
me niko na noti ya leo mbaka kesho
attention, tena vacation
hawezi kuwa naughty bila compensation

[chorus]
kweli akina dada, wamenionyesha giza
ama nilikosea labda w~n~lipiza
kweli akina dada, wamenionyesha giza
ama nilikosea labda w~n~lipiza
akina dada
giza
nilikosea
labda w~n~lipiza

[bridge]
(woi woi woi ona)
simu siku hizi ndio adui
chunga usichizi vitu hujui
ndio maana siku hizi mi sikagui
nilishafundisha
utazungushwa sana

[chorus]
kweli akina dada wamenionyesha giza
ama nilikosea labda w~n~lipiza
kweli akina dada wamenionyesha giza
ama nilikosea labda w~n~lipiza
kweli akina dada wamenionyesha giza
ama nilikosea labda w~n~lipiza


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...