lirik lagu emachichi – jipe moyo
dunia hii imejaa dhiki na vikwazo
jipe moyo katika bwana×1
dunia hii imejaa chuki na fitina
jipe moyo katika bwana×1
umesingiziwa jambo ambalo hujalifanya
jipe moyo katika bwana×1
umefutwa kazi hata bila sababu
jipe moyo katika bwana×1
jipe moyo
jipe moyo
bwana yesu amekuona×2
kusoma umesoma lakini huna kaazi
jipe moyo katika bwana
kulima umelima lakini mavuno hakuna
jipe moyo katika bwana
moyo wako umejaa mafikira mengi sana
jipe moyo katika bwana
utakula nini,utavaa nini, utalala waapi
jipe moyo katika bwana
jipe moyo
jipe moyo
bwana yesu amekuona×2
umekaribia harusi, mchumba wako amegeuka eeh
jipe moyo katika bwana
miezi tisa sasa mume wako hayuko nyumbani
jipe moyo katika bwana
jipe moyo maana mkombozi wako bado yuhai
jipe moyo katika bwana
usife moyo ndugu
usife moyo dada
jipe moyo katika bwana
huj~pata mtoto kwa miaka mingi sana
jipe moyo katika bwana
hata biashara zako zote zimefilisolisika
jipe moyo katika bwana
jipe moyo
jipe moyo
bwana yesu amekuonaaa×3
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu voiddweller – mall iii
- lirik lagu a-list (uk) – every time you look
- lirik lagu genworld – g a l a x i a n
- lirik lagu minelli – illusion
- lirik lagu carter ace – just like money
- lirik lagu ghea youbi – gaspol
- lirik lagu l.u.i – digital catania
- lirik lagu kid x (sa) – pot of gold
- lirik lagu favela baby – no hook
- lirik lagu nelo – october.20.2020