lirik lagu don santo – kupe
intro
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k~mbe ni kupe :||
verse 1
huko mjini kuna mambo, unavyoona k~mbe sivyo
wenye suti majambazi, na magari ya kifahari
kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza mengi
kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza vyote
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k~mbe ni kupe :||
verse 2
leta pesa tutaifanya double, triple hata mara k~mi unavyotaka, utapata;
na k~mbe kile wanachokita sana ni kukubwaga;
hao x3 – ni wezi kupindukia;
i know x 3 – ni ngumu kuwatambua
akija na story, jipange pange; akija na vako, mrushe rushe
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k~mbe ni kupe :||
verse 3
t’t’take care, mjini huwaga na wahuni;
utadhani muhubiri wa neno la mungu, k~mbe ni broker na kahaba
“bibilia inasema (kunja mdomo hivi x2) halafu nitawaambia wapande mbegu”
acha ukora yeye yeye yeyee, hahahahahahahaha shame on you!
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k~mbe ni kupe :||
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu xofilo – starsdontshine
- lirik lagu blushing – pressure
- lirik lagu kaliblack – oh no
- lirik lagu jonny wildshire – downer
- lirik lagu by2 – 你還在聽嗎 (please listen)
- lirik lagu yucky duster – johnny
- lirik lagu 12os pithikos (grc) – πειρατές (peirates)
- lirik lagu juliet and campbell – timeline
- lirik lagu lil choppa – eastside flow
- lirik lagu louise distras – street revolution