lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dizasta vina – best friend

Loading...

huh nina washkaji home dili ikija wanapindisha sera
inawaumiza napopiga hela
wote wanangu bado sijawahi wapinga jambo
hata wakificha cargo bado nawapa hi ‘cause we best friends

wapo wavivu wapatwe na dhiki
wako hoi hawatoboi hata uwape matrick
ni marafiki na wanaita wanawake ma~b~tch
utadhani hawatapa mabinti
and we are best friends
wapo waliooga maji yangu
niliondoka wakamtongoza manzi yangu
na bado naishi nao mmtaanui kando kando ado ado
siwachukii wananifundisha, so we are still friends

nina marafiki hawana deal na mii
hawana sera na wanachill na mii
wanajua nilipotoka ila hawakuwepo niliposota
leo wanashoboka kisa mi msanii wan~z~ngua but we best friends

wapo waliopotea fasi
unawalea leo kesho wananyea kambi
tunapeana gwara kama marasta tukikutana
kinyongo hakuna niko safi, ‘cause we are best friends

hatua ndogo sijavuka futi
siwezi kufurahi moyo linapokufa kundi
so unapookota dodo siwezi fuga bundi
moyo w~ngu mdogo siwezi fuga chuki
‘cause we are bеst friends

so sihusiki na ugomvi wako, lifestyle au kopi zako
gossips za matozi wеnzako
nishaumizwa na watu industry na makovu yapo
so i’m sorry that i’m causing trouble. best friend
misingi yangu haipasuki man
una~confuse ushindani na ukinzani
sikutukani labda tu uanzishe chuki nami
naiheshimu culture nikif~gia situpi ndani

sio mtemi hata kidogo, j~po sichekicheki
niliitika nyumbani waliponiita, ukinzani ulipofika
wakanifunza amani palipo vita nina uhakika
we are best friends

washkaji zangu wa utotoni wanang’ata pela
walienda mtoni kuzisaka cheda
na wengine walidakwa jela
so siwezi kuchukia hustler mwenzangu akipata hela

naishi kizazi bro kama hauamini muulize kadgo
siwezi ringa nyumbani mbali bro
so ukiona nimeandika tusi ujue ni typo
and i’ll be sick if i’ll ever enjoy your downfall

biashara vita ushajitupa vitani
so ukishindwa sitegemei ka’ utakufa kiimani
sina chuki napoona unavifuga vidani
furaha yangu ni kuona umem~retire bimkubwa nyumbani, so we are best friends

mitihani hii haina majibu
palipo na amani pana taifa nadhifu
usitegemee niwe msafi ka’ malaika wa mbingu
na unajua mi binadamu mwenye haiba dhaifu
we are friends bro
kuwekeana chuki inakera
sirudii upuuzi walileta nuksi masela
mi sio bepali kwahiyo sifugi mahela
unakosea kuniweka kwenye kundi na fela

i’m not your enemy maana haupo nilipo master
lyrical murderer kikatili nakili mastanza
ushasikia nyimbo mtaani wananakili maujanja
cargo begani ka’ msafiri nasafirisha culture mi ni
bestfriend

yeah! but you’ re already know
and i’m on my mp heavy flow
kadi bury og
nisome humu nabakia ngome ngumu kama highbury 03

hustle mode so nicheki kesho
kwenye hotel ma~suit flani hivi presidential
nikiunda good stuff, going past your comprehension
huoni ma~chef wanacopy session

sijakucheki niko resi wanauliza do i ever rest
hizi height ni mount everest
this is art in a full form
hazifanani na ma~uniform scout mi ni unicorn

i’m your best friend nakwambia game chafu
h~ll yeah ushaona ma~dirty players
pole sana universe doesn’t play fair
p hajakwambia industry jela sio daycare

badala ya kuanza kulalamika kwenye kila pini
chagua kufanya au chagua kuweka mpira chini
maana kila mbuyu mkubwa una kila jini
si uungwana wakikuudhi ukiniletea hasira mimi

naweza nika~login nika~like~like kisha
nika~reply lengo ni ku~hype hype twitter
uliza watu wote mtaani wote wanaomfahamu vina
nikiamua k~mbattle mtu huwa namtaja jina

sivungi vungi bahati mbaya you are not my competition
mwanao alafu uniandikie wimbo contradiction, this is not a diss i’m just clarifying
kama unataka biff kama mbwai mbwai, lets go to mission

wekeza ujikimu nakuheshimu jiheshimu
tuheshimiane i’m your best friend
ukipata stress nipigie tu~adress
ukiniundia case ni wazimu, i’m your best friend

mawazo yakija unaokota some books
unalipia membership kwenye gym, i’m your best friend
so usinirushie stimu
futa candy crush kwenye simu

same color si wabantu
sanaa maisha yangu sina masihara niki one~two
tuko tofauti ka sigara na tumbaku
so ukiniletea chuki hiyo ni ishara ya upumbavu, i’m your best friend

kwanza kunywa chai
wenzio walinijadili wakavua tai
kazi ngumu waaajiri walifanya dua site
kunitaja sio ujasiri hiyo ni suicide

j~po sikujikuji mbele, na sisukisuki nywele
na sifugifugi upele, na situpitupi mchele na
sina matatuu sif~gili mananiii
machupi chupi tele i’m your bestfriend

gear ya chini ya ufundi w~ngu
ishi upande w~ngu haustahili matusi yangu
haustahili muda w~ngu haustahili maujuzi tangu
nanyoa haustahili kugusa ma… sorry

umesahau haya macl!ck cl!ck pow pow
uko idle na unani~diss~diss calm down
ukilala game itaku~jig~jig now now
man! hawa machizi wa siku hizi jau jau

nina portfolio nyingi imara tu
ningejali jinsi unavyoni~diss but my hands are full
unafahamu tatizo niki~lay verses
be careful what you say next, bl~~dy fool

inanishangaza sana
you had all the means to check me ukachagua wimbo ‘cause unataka drama
nishadiss hadi kanisa langu msenge hauk~mbuki
unataka niue mende kwa bunduki
i thought we friends ni~~a

sanaa ni ujuzi bro
sio vipuri perfume access ya studio
sanaa ni sport kwenye ligi kama premier
kaza ndonga now una deal na ma~senior

kichwa haiwezi kukata ma~equetion
mainstream jau nashangaa huj~pata hii impression
kama hauna moyo kinachofata ni recession
uwe chawa au uanze kudata na depression

we still need you, kuona unatoka salama
kabla ya kuosha makasha au kugonga maplama
au kuhonga mabanda au kuloga kwa waganga
unaponipa gwara hakikisha umeoga janaba
mi ni best friend

rafiki yangu aliniambia nyimbo zangu mbovu
eti sauti yangu chovu
ndugu yangu wa damu alisema vision yangu pofu
na bado tunaongea so unamind kisa like bob

i wonder where your manner be
miaka 3 umeanza kushiba upuuzi wa hawa madrama kings
shukuru leo kakaako nipo so the school’s free
sk!lls ka’ albert mangwair ama bruce lee

i’m your real friend kushinda pastor
kushinda sera na kampeni za mwanasiasa
kushinda your so called godfather anayekuacha unasafa
real kushinda hata your favorite rapper

industry ni sumu sana ndio maana i stay hidden
your so petty man that’s why we are not even
kulalamika ni dalili kuwa haumudu challenge
na mafanikio sio mpaka a~approve tale
he’s not your friend

mimi nna wadau kijiji
daily wananipa shout out kichizi
wanasema nimeenda shuke afu nina~rap kichizi
nina star look and i’m nice bado siringi

tale atasema nini? labda akahubiri garilaya
game ikiwa shubiri na~retire
kama unataka tuoneshane nani ni jangiri basi haya
hauwezi kuvunja ushikaji kwa like ya bahati mbaya, you’re my best friend

ungenicheki tu ningekuomba radhi
ni vile unataka attention kwa watazamaji
sasa amua vyema ukikosea unazama maji
nakuua live nagawa content kwa watangazaji

you ain’t got no business dissin me
i’m a full band an orchestrated symphony
ulipo~master branding mi’ nili master art
na ndio maana every record is master class, listen g

umeanza upuuzi upuuzi ung’ae ng’ae
ngoma zenyewe ni kuch kuch nae nae
town umekuja juzi juzi makuzi
unadhania mi ni mpuuzi mpuuzi k‘mamae


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...