lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu diamond platnumz – kesho

Loading...

mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
nataka kesho twende ukamuone mama
mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho twende ukamuone mama
kwanza kabisa ntanyonga tai
t~shirt na jeans ntatupa kidogo
unite nasibu usiniite dai
asije kukuona muhuni akapandisha mbogo…
na ukifika uagize chai
savanna takila uzipe kisogo
kuhusu mavazi kimini haifai
tupia pendeza ila za hekima logo
even though wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
even though, wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
nataka kesho twende ukamuone mama
mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho twende ukamuone mama
usilete swaga za nainai
ukanyoa kiduku kama moze iyobo
eti shopping twende thai
wakati dadaangu ana duka kigogo
ukikuta nguna usikatae
we zuga unapenda hata kama wa muhogo
kuhusu kabila mbona sadai
mama angu hana noma hata kama mgogo
even though wanaponda eti we ni kicheche
waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke
even though wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
nataka kesho twende ukamuone mama
mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho twende ukamuone mama
mama yangu mama…
mama naseeb mama…
mama diamond mama…
mama yangu nyumbani…
mama chali mama…
mama sepetu mama…
mama kidoti mama…
kwa mama diamond nyumbani…
minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
nataka kesho twende ukamuone mama
mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho twende ukamuone mama


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...