lirik lagu deey oneten – ooh lord
nafungua sala kwa jina la baba
maisha ni misala hata usawa unakaba
majibu ya mola yanatokana na ibada
tuombe atupe nguvu ya kupambana na shida ameen
wabarikiwe wenye upendo kama mimi
roho safi ubaya wote chuki nimetupa chini
nikikusamehe ni saba mara sabini
hii dunia tunapita wote tupo safarini
masnitch wanaokunja washindwe washindwe
wachawi wanaobana washindwe washindwe
na walegee wafe kabisa
nakaza ipo siku nishinde
ninachotaka kila kitu napata
nasubiri maramoja siku yangu ikifika
mungu yupo nami hajawahi kuniacha
kila hatua ninayopiga yeye ndio ananifikisha aah
ooh lord ooh lord
naomba unishike ooh my lord
ooh lord ooh lord
nishike mkono ooh my god
baraka za mungu zimenishukia
yeye ndo yupo nami kwa roho
amenishika nami nimemng′ang’ania
nafasi nimempa kwa roho
praise lord praise lord
praise praise praise lord
praise lord praise lord
praise praise praise lord
shakaraba baba sita
maisha magumu lucifer ananita toka
kwenye milima mabonde nishapita
siwezi kuhofia popote nafika ameen
kuna watu na viatu hatufanani katu
wapo wenye roho safi wapo wenye roho kwatu
mungu baba mungu mwana roho mtakatifu
naomba mola atuepushe na hawa wataka beef
wasiotaka nisonge washindwe washindwe
wasionipenda washindwe washindwe
na walegee wafe kabisa
namuomba mungu yeye anilinde
ooh lord ooh lord
naomba unishike ooh my lord
ooh lord ooh lord
nishike mkono ooh my god
baraka za mungu zimenishukia
yeye ndo yupo nami kwa roho
amenishika nami nimemng′ang’ania
nafasi nimempa kwa roho
praise lord praise lord
praise praise praise lord
praise lord praise lord
praise praise praise lord
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu circee – mente rasa
- lirik lagu kishin – i still think about us
- lirik lagu xaviersobased – 7am
- lirik lagu john august (b) – forget this
- lirik lagu padington – malibu
- lirik lagu allkill1t – falsehood
- lirik lagu navyson – fuerza
- lirik lagu the mescaline babies – bliss/martyrdom
- lirik lagu dadoe – rez dreamerz
- lirik lagu ocin – run