lirik lagu datty tz – uboya
#intro
u uhhhhh
aaahhhhhh
kazuu vibe
#verse
eti simu zangu huzioni
inamaana umefumbaa macho
masikio usikii uonii
sawa unanidharau sana darling
mbona unapitiliza unapiga
bila kujali yangu halii
eti umehamia kabisa
ata uso w~ngu nauficha mambo gani
yakufichuana ficha moyo w~ngu uhhuuu
mzaha mzaha imekuwa share
shemu shemu imekuwa fine asijali
yatakuwa sawa rafiki yangu uuuhh
#chorus
uo uboya kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya bora ungeniuliza mimi namjua
muongo uyo uo uboya
kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani wa uongo ngo
#instrumental
#verse 2
mery upo wapi mama alichonitenda hawa
siungwana bhana,k~mbe zile out zilimtoa roho
mbona sik~mtenga twaenda nae show
k~mbe moyo moyo anasema ngoja ngojaa
nakuta status kampost nicco
nikasema niende nawakuta woote
niulize nikaf~kuzwa toka tokaa
eti umehamia kabisa
ata uso w~ngu nauficha mambo gani
yakufichuana ficha moyo w~ngu
mzaha mzaha imekuwa share
shemu shemu imekuwa fine asijali
yatakuwa sawa rafiki yangu uuuhh
#chorus
uo uboya kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya bora ungeniuliza mimi namjua
muongo uyo uo uboya
kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani wa uongo ngo
sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani eheeheeheee
#instrumental
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu blunts in the garden – das kalte ende
- lirik lagu guma – house analogue
- lirik lagu kas – rei da ilha
- lirik lagu sefa berke – seninle sonsuz
- lirik lagu david arn – losing track of kimberly
- lirik lagu agill – pa’ ella
- lirik lagu david radosavljević – stani (radio edit)
- lirik lagu holden laurence – until the devil comes for me
- lirik lagu sanfeliu – one long winter
- lirik lagu marc seberg – fascination