lirik lagu datty tz – amenikamata
amenikamata lyrics
(verse 1)
nilikuwa tungi kwa party imenoga
mara akaja shosti kwa sikio akanong’ona
eti kuna boy kaniona
anataka kaa nami meza moja
nami sikusita ni kaenda
mara akanivuta kashangaa
nanyanyua kichwa madenda
mara kwa kifua kanilazaa
(hook)
chiiiihh
(chorus)
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikakaka amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikakaka amenikamataa
(verse 2)
na alivyo mpole mzuri
anakabody kifua ngangarii
akipiga gym na point misuli
mpaka matani nakuwa kiburi
yaani magoli akipiga anapata
namimi sitoki nashangaa mpaka
mahaba ng’aring’ari mikwake nadeka
kuoga sitembei mpaka kwa bafu nabebwa
(chorus)
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikakaka amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikakaka amenikamataa
(vesre 3)
nikiwa mbali nae namiss aah
michezo fulani ya durisi ahh
najuwa tatu wengi wanadiss now
mbona datty bize hivi vipii
ukweli nimepagawa tena nimedata
maana nisipo muona nahisi utata
mashoga sijakata story sijakataza
ila vikizidi nitashika hata pangaa
(chorus)
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikakaka amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikaa amenikamataa
amenikakaka amenikamataa
(outro)
polepole maa polepolee naa
polepole maa polepolee naa
polepole na baby w~ngu
baby w~nguu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu saucy di ablo – save us (allies)
- lirik lagu v.o.s – 같이살자 (live with me)
- lirik lagu m.a.c. k.i.l.l.a. – pocket watch
- lirik lagu boywithuke – far away
- lirik lagu zoya – one way
- lirik lagu okay! kenji – wrong things (unplugged)
- lirik lagu 현창민’hyun changmin’ – 私の日 (my day)
- lirik lagu these fading visions – the only light
- lirik lagu dc the don – all i know
- lirik lagu abugat – dize koy