lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu darassa feat. harmonize – yumba

Loading...

yumba eeh yumba ie dar-ssa and kondeboy
(255 champion boy, cl-ssic) yumba, yumba
aga nikiwind my beiby
jipinde pinde kama a nyoka
pinda mugongo nibebe
nisije nikadondoka
(o nah nah nah nah)
njian napitapita samahan sister
macho kama unaniita imekolea shisha
mwaga mapichapicha yasambae inster
yani kesho kukicha jana kama vita
suruali pale viatu kule
usilale lale kaa mkao tule
njoo tukufunze kozi ambazo huwezi kupewa shule njoo nikutunze baby
huwezi kufanya kazi ya bure ukiwa na king agiza tu utaletewa ukiwa
queen kwenye joto utapepewa jiongeze jiongeze nishanogewa napenda
kuyumba yumba nishalewa nasema baby apo kati,
baby apo kati ata mabubu wanatoaga sauti baby apo kati,
baby apo kati hata jambazi sugu linapigaga saluti i say stop!
twende taratibu kama unasinzia(yumba yumba) akiwa karibu
unamk-mbatia(yumba yumba) eeeh twende taratibu kama unasinzia(yumba
yumba) and i say(yumba) aliyekaribu unakamatia(yumba yumba) and i
say(yumba) oooh nah nah nah nah funga funga mishikaki funga no paki
rhumba takitaki dole gumba hapi yumba juu, nyumba chini,
yumba katikati yumba yumba mwili kama umelegea nati samahani namba
unayopiga haipatikani kama umepoteza uliza google watakupa ramani
kama una chuki ota mbawa upae angani au pasua ardhi uingie ukae ndani
bado nawagongea gongo nakomalia mchongo,
nawashushia vigongo umevalia usongo, wa mangoma msondo,
eeeh eeh uongo anajua mungu mwenye mbingu ardhi na udongo mzee kasema
sesema gosha mperampera nambeba sanchoka na nyuma
kashafunga tela i say stop! baby apo kati baby apo kati
hata mabubu wanatoaga saut
baby hapo kati baby hapo kati
hata jambaz sugu linapigaga salut stop
twende taratibu kama unasinzia yumba
ukiwa karibu unak-mbatia
twende taratibu km unasinzia yumba
a and i say (yumba) vile karibu unakamatia you hold and i say (yumba)
oooh nah nah nah nah oooh amechanganya cush na nyagi kalewa wamembeba
(anatokaje?)
alijifanya mjuaji k-mbe mimba haitok leba
itakuaje
giza giza mama totoro
nishaagizagiza chumba godoro
nitalizaliza mpaka tomorrow
asa twende taratibu kama unasinzia
follow@ benshiri_tz


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...