lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu d voice – bambam

Loading...

washumba na mashumba wena

haikatox haikatai

naenjoy mapenzi ananipenda wallah

sikuhizi kiboss acha nijidai

penzi limefana kama suti na tai limenogaa

raha tu chumbani bafana bafanaa

kitandani ana nichezesha sheree

nimeoza moyo maini maini mpaka bandama

ye ndo kucha kanikuna kipelee

asa wenzenu leo hatulalii (kitandana cha moto)

wakubwa tunakesha kulala tuwaachie watoto

usiku ndo hatarii (moto juu ya moto)

tunazama sayari yani chocho juu ya chocho
mi na yeye bambam

ye ni hawa mi adam dam dam

wenzenu penzi letu tam tam tam

mi na yeye dam dam dam

zuchu chu chu

my baby good morning itika how are you

( how are you)

mi siko fine toka jana usiku

nisipokuona tu honey mi presha yawa juu (yawa juu)

naogopa vinyani visikuibe my boo

ooh kwake natolewa miba wa samaki kole kole

ooh ananilisha nashiba kisha ananipa pole

onana
onana nana ono nono

pendashana i ilove more more

natukigombana mtulize mishono

tunajuana mtachoka midomo

wenzenu leo hatulalii (kitandana cha moto)

wakubwa tunakesha kulala tuwaachie watoto

usiku ndo hatarii (moto juu ya moto)

tunazama sayari yani chocho juu ya chocho

mi na yeye bambam

ye ndo hawa mi adam dam dam

wenzenu penzi letu tam tam tam

mi na yeye dam dam dam

onana nana ono nono
pendashana i ilove more more

natukigombana mtulize mishono

tunajuana mtachoka midomo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...