lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu d knob – nishike mkono

Loading...

yeah viri, d kn~b, mr. sahani
let me turn most wanted
mwasiti the queen, i got you huu aaah

nifuraha mwetu mpenzi
usicheze tena na raha hii
nishike mkono mpenzi
tuwaonyeshe mabadiliko

tabasaamu uuh uuh
ndo njia pekee yakuonyesha
tumeridhia
tumeridhiaa aaah

nishike mkono, nikushike mkono
nishike mkono, nikushike mkono
nishike mkono, nikushike mkono
nishike mkono, nikushike mkono

ooh! nipe kiss kwenye lips
kweupo hadharani kama vipi basi vipi
tuwe kifimbo kama nyerere vyenye tutabeba wao
watani kama mithili ya nje ndani mabao

kipwani pwani mambo flani
ujinga weka kando mamy
d kn~b wamitambo
jose kama kigambo

haufanani na mademu wa carolite
home tuna~spend the night
we play kama cate na koba
machizi wa kiwalani

gwiji wa kwenye bega langu
ndinga tuki~cruise town
mshiko juu ya dashboard
trafki kuwa cool down

mikasi kwenye radio
gwea rest in peace man
lengo si watoto
j~po kila mechi waya

nifuraha mwetu mpenzi
usicheze tena na raha hii
nishike mkono mpenzi
tuwaonyeshe mabadiliko

tabasaamu uuh uuh
ndo njia pekee yakuonyesha
tumerishia
tumeridhiaa aaah

nishike mkono (ahaa), nikushike mkono
nishike mkono, nikushike mkono (yeah)
nishike mkono (ahaa), nikushike mkono
nishike mkono, nikushike mkono (yeah)

wooow! another day another hustle
hata njia ya mkato baby tutafika tutakapo
michoro kama pikaso, miguu yote nita~score
usoni tabasamu lako nitahakikisha lina~grow

if you go
then i go
niki~blow
uta~blow

data tada kama mchezo na zangu flow
kacha kacha kama pendo una my flow
kali kama sigara kali
mbele nyuma si hatari

high level tulipo mamy hatuhitaji majamvi
matawi ya juu hewani
langa rest in peace man
ukiniita mr sahani nami nitaitika honey

nifuraha mwetu mpenzi
usicheze tena na raha hii
nishike mkono mpenzi
tuwaonyeshe mabadiliko

tabasaamu uuh uuh
ndo njia pekee yakuonyesha
tumerishia
tumeridhiaa aaah

nishike mkono, nikushike mkono
nishike mkono, nikushike mkono
nishike mkono, nikushike mkono
nishike mkono, nikushike mkono

hii ni spesho kwa mitaa
you know i got you
′cause you got me


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...