lirik lagu collins pinky – yesu anaweza
Loading...
yesu unipendaye
kwako nakimbilia
ni wewe utoshaye
mwovu akinijia;
yafiche ubavuni
mwako maisha yangu;
nifiikishe mbinguni
wokoe moyo w~ngu
ngome nyingine sina;
nategemea kwako
usinitupe bwana
nipe neema yako
ninakuamania
mwenye kuniwezesha;
shari wanikingia
vitani wanitosha
nakutaka mpaji
vyote napata kwako;
niwapo muhitaji
utanijazi vyako;
nao waangukao
wanyonge wape nguvu;
poza wauguao
uongoze vipofu
bwana umeniosha
moyo kwa damu yako;
neema ya kutosha
yapatikana kwako;
kwako bwana naona
kisima cha uzima;
mw~ngu moyoni bwana
bubujika daima
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu broken vow – illusion
- lirik lagu ever2 & 2nb – i’ll close your eyes (눈감아 줄게요) [duet version]
- lirik lagu dan sharp – chaos eyes
- lirik lagu lisa gerrard & jules maxwell – noyalain (burn)
- lirik lagu lil ak trap – wanna know
- lirik lagu glenn – wake up america
- lirik lagu sight. – o were my love
- lirik lagu hachiroku86 – memories of her
- lirik lagu becoollikekenny – professor
- lirik lagu reyes celaya – ain’t new to me