lirik lagu collins pinky - yesu anaweza
Loading...
yesu unipendaye
kwako nakimbilia
ni wewe utoshaye
mwovu akinijia;
yafiche ubavuni
mwako maisha yangu;
nifiikishe mbinguni
wokoe moyo w~ngu
ngome nyingine sina;
nategemea kwako
usinitupe bwana
nipe neema yako
ninakuamania
mwenye kuniwezesha;
shari wanikingia
vitani wanitosha
nakutaka mpaji
vyote napata kwako;
niwapo muhitaji
utanijazi vyako;
nao waangukao
wanyonge wape nguvu;
poza wauguao
uongoze vipofu
bwana umeniosha
moyo kwa damu yako;
neema ya kutosha
yapatikana kwako;
kwako bwana naona
kisima cha uzima;
mw~ngu moyoni bwana
bubujika daima
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu 盧巧音 (candy lo) - 唱你 (sing you)
- lirik lagu sarah kang - now i know
- lirik lagu lil keitto - fakkaus on majaton
- lirik lagu ksamakes (ксамэйкс) - последний танец (last dance)
- lirik lagu eddie ambition - rip my heart out
- lirik lagu sokak ağzı - hey
- lirik lagu boa (보아) - share your heart (with me) [korean version]
- lirik lagu 2nb (투앤비) - black tears (까만눈물)
- lirik lagu spencer & cj - medicated
- lirik lagu commissioned - a praise for you