lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu cherry - ole

Loading...

moyo umechoka kuteseka
(no bhana hapana)
marafiki mapenzi visa yeah

mood yangu ya kusaka pesa
sina habari nao sitaki kuboreka
(no bhana hapana)

tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily

najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kata, kata, kata kata kaah ta

acha niupoze moyo
nimwagilie moyo
niuridhishe moyo
nshachoka hizo ndombolo
wabaya watu, kucheza rafu
sitaki katu me nawakataa tu (no bhana hapana)
mambo ya watu, issue za watu
weka kwa kapu hapa ku party tu (oh leo leo)

najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kataa, kata, kata kata kaah ta


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...