lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu cherry (tz) – nimekubali

Loading...

[verse 1 ]
kila nikifumba macho
naona taswira yako
hata sauti haijanitoka aah
kila kona niendako
nahisi uwepo wako ooooh
mpaka harufu yako inanitesa aaah
bado nawaza aah, ama ni ndoto ya mchana
hivi mazima umekwenda
hautarudi, unanitaniaa
kwanini umekuwa katili
uliahidi tutabaki wawili
furaha umeizima,mood yote umekata
siwezi ficha umeniweza miee
hivi kwanini umekua katili
unanitesa nakonda mwili
kurasa umegeuza,mwendelezo umechana
sina cha kufanya
nabaki kulia

[chorus]
(uuh uuuhh uuhhh uuuhh)
nimekubalii,umeamua kunitoa machozi
nimekubali, furaha yangu igeuke majonzi
nimekubalii iiih, umeamua kuniachia simanzi
nimekubali, hata nikikataa nitafanya nini
uuuuh, uuuuuh, uuuuuh, uuuuuuhh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...