lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu cherry (tz) – nikikupata

Loading...

[intro]
yeah yeah

[verse]
i believe what i see
kila ninachokiona so sweet
hisia zangu hazidanganyi
nimeridhia moyoni yeah
najifeel you and me
sitaki tena kuwa lonely
nakupenda,nakutaka
usiogope we niamini yeah

[bridge]
mambo mengi najiuliza
imekua kama muujiza
mbona ghafla nimejimaliza
et sisikii sioni
hata kama unaigiza
we nivute kwako sina shida
scene scene flani kwenye giza
usi cut tuendelee

[chorus]
nikikupata, pata kweli nitaringa
nikikupata, pata, penzi ntalilinda ah
nikikupata, pata kweli nitaringa
nikikupata, pata, penzi ntalilinda ah
ooh ooh ooh ooh ooh ooh ooh yeah
ooh ooh ooh ooh ooh ooh ooh yeah
[verse 2]
i fell in love
itangu siku nilipokuona
jicho lako tabasamu lako noma
nilipokukonyeza, you smile too deep
maksudi ukapita mbali kama hujaniona
kweli upendo unaanzia mbali
huwezi ficha unavyotesa ndani
i wanna love you better
i wanna treat you better
kweli nikikupata nitakupenda vyema
nami sitokuacha me niteseke tena
dodo nimepata niende wapi tena
tell me kama unanipenda
nisipendane na mwingine tena
sitopendana na mwingine tena aah

[chorus]
nikikupata,pata kweli nitaringa
nikikupata,pata penzi ntalilinda ah
nikikupata,pata kweli nitaringa
nikikupata,pata penzi ntalilinda ah

[outro]
oooooh oooh ooh oh ooooh ooh ooh yeah
oooooh oooh ooh oh ooooh ooh ooh yeah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...