lirik lagu brokuod
taswira naivuta kinoma
napambana nipate kile sina
taswira naivuta kinoma
napambana nipate kile sina
nimejikaza sij~pata
pande zote duniani nimetamba
nilisoma nikatamarc
mpaka leo kazi sij~pata
bado kidogo tu, nitatoboa
bado kidogo tu, nitatoboa
kama magharibi, mashariki me nasonga
kusini kaskazini ninasonga ×2
napambana na maisha wee
na maisha wee
napambana na maisha wee
na maisha we
napambana na maisha wee
na maisha wee
ah ahh
na maisha we
ah ahh
na maisha we
na kagari nimebuy
na kanyumba nimejenga
juu amani nilidai
and am not about to die
with your pointless agendas
na hamjanijenga
bado kidogo tu, nitatoboa
bado kidogo tu, nitatoboa
kama magharibi, mashariki me nasonga
kusini kaskazini ninasonga ×2
napambana na maisha wee
na maisha wee
napambana na maisha wee
na maisha we
napambana na maisha wee
na maisha wee
ah ahh
na maisha we
ah ahh
na maisha we
na maisha we
na maisha we
na maisha we
na maisha we
bado napambana ( mbana, mbana, na maisha we)
napambana na maisha we
napambana na maisha we
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu justin jarmacz – how this all ends
- lirik lagu josad – bo¥
- lirik lagu deë 2094 & tan – wine, weed & everything in between
- lirik lagu plas teg – the pedigree
- lirik lagu double echo – remains
- lirik lagu luca kaminski – haters and goons
- lirik lagu coma cose – outro (skit)
- lirik lagu glen campbell – mansion in branson
- lirik lagu nagyi – sika duro
- lirik lagu kxzz – moonlight