lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu breeder lw – bio na chem

Loading...

{verse 1}

msupa aliguza chuma akazirai, ju hajazoea vitu genje
amezoea hawa mawannabe, wao hudishi pizza si sembe
omena yangu ikuje dry fry, ongeza mala na kunde
nikistep ni manike why? siwezi teleza nidunde
wack rapper rudi shule, nina mafan hadi bunge
bazenga daddy ni jina biggy, lakini flow ni silly
nikona diva na tunavibe, na tuko ndani ya duvet
me huzoza fully tangu 2005, zlatan bado akiwa juve
warazi wapigwe maheady za chest
me ndio zidane hadi ref anavex
ka ni chuo nilipassingi test
after teo nilichomanga desk
weh bado uko preps, me naruka fence
niko mahali na yuni me napewa head
hii ndio life ya nutcase hmm! f bio na chem
ka ni funkie ni kolombo na maloafers ndani ya school bus
siku hizi kwa fom ni kikolo, kikiwashwa kiuzunguka
nimejipin na macondom ju waroro wao hujipa
na sitaki mabunny wanifollow, ju hata me si jesus

{chorus}
f bio na chem~16

{verse 2}
kwa assembly sina nyong’inyo
kwa computer lab naona nginyo
kwa dh nikona hotpot
kwa staffroom ni viboko
sus ni mbili kwa mwezi
mwakenya rarua kamusi
ati ‘goodmorning class?’
niko kwa dorm nadoz na mask
nani hajafanya assignment?
bazenga daddy ako abscent
ni p.e na mode ako daro, chocha bellringer afanye mambo
hakuna wiki sina scandal, hadi mapiri wanajua me ni stubborn
lakini after ngoma na omollo, ngoma na benzo ikahit me ni starboy
lakini sahii niko kwa map, ni ka nimechorwa kwa atlas
prinsi alisemaga me ni failure, lakini kuomoka ni sheria
niko katikati kama radius, heri ata nigeuke alien
ju kwa moon hakuna pano, huko jupiter hakuna syllabus
8~4~4 ni mzigo, kidegree bila jobo
ama nigeuke roro, nitinge hat~trick na machobo
anyways f bio na chem, chuo ni torture chuo ni h~ll
hii ndio life ya nutcase hmm! f bio na chem

{chorus}
f bio na chem~16


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...