lirik lagu blessed paul - moyo wangu
kuna maneno ya uzima, nimesikia
kando ya kisima, cha yakobo
kama ungalinijua mama, ungeniomba
yangu ya uzima, shida zako ni ndogo
mmmh
ayanywaye maji haya, suluhisho ya muda
ila ayanywaye ninayo toa, hataona kiu tena~2
moyo w~ngu tulia
tulia kwa bwana
usifadhaike maana
bwana yuko nawe
ona kijito cha tiririka, toka enzini
hapo kando umenipanda, daima mbichi kijani
wakati wa kuzaa na uso wa kuzaa mimi nitazaa matunda mema
nitaingia mtaa na ujube ya kuwa, nimempata hasiyebadilika
njoni nyote mnywe maji, kwa maji haya
mavazi yakifuliwa, yanatakata~2
moyo w~ngu tulia
tulia kwa bwana
usifadhaike maana
bwana yuko nawe
wakati wa kuzaa na uso wa kuzaa mimi nitazaa matunda mema
nitaingia mtaa na ujube ya kuwa, nimempata hasiyebadilika~2
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu tanja savić - zašto me u obraz ljubiš
- lirik lagu hussleway gypsy - koi
- lirik lagu nucho - não quero pensar
- lirik lagu rett madison - skeptic's angels
- lirik lagu logan hughes (shadow logan show) - no more
- lirik lagu schmutzki - traudichkeit
- lirik lagu bailey skalski - race against time
- lirik lagu leanna firestone - diet coke
- lirik lagu latifa soyuoz - d’amore
- lirik lagu no. 2 - french exit