lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu benzema(ochungulo family) – story za vanessa iv

Loading...

niaje vanessa,naitwa clarissa
we ndio dem unapea boy w~ngu seizure
we ndio dem unaclaim ukona mimba
na mziki bado anabahatisha

jegi iliwacha kuwa attraction easy
vitimbi iliachwa kuchezwa kwa tv
wingman wa dexter kaka wa didi
napata ~rg~sm ka ameiva akili

love is blind,ukweli nilikuwa blind
kushuka kutoka 5 star nikajipata 2 star
kujidrown na tusker
kujihang na kamba
mkono naikatakata
damu ntakunywa supper

bros over hoes
hoes over bros
hoes ni mabros
bros ni mabros

nashuku love hukuwa white collar job
siri ndani lazma ukuwe worth million bob
katululu yako lazma ikuwe ya steve jobs
nidoo,venye unapenda ndom
first time kuona uchi,[?] nilikuwa nayo we ni lightweight kushinda vodka
so tukamix ganja na soda
then tukaplay,gengetone na doba

ushainterview trey songz
bado hujainterview bro wa trey songz
na venye amekuwa akitoa hit songs
trending ata kushinda cartoon ya flintstones
skintone kama ya kina simpsons
sauti yako ndio ilikuwa ringtone


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...