lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ben pol – warira

Loading...

tatizo kina lake
haliln’ kanki mdomoni
taswira ya sura yake
hain’toki kichwani
mapenzi na raha zake
n~z~ miss jamani
matash~titi mahaba yake
aninyila raha ndotoni

kama shida pombe
niko tayari kuacha
aje tuyamalize
si sawa mi kuniacha
kama shida pombe
sigara naacha
aje tuyamalize
si sawa mi kuniacha

funika kombe mwana haramu apite
kosa gani kubwa lisisameheke
niambie basi j~po nijirekebishe
hii hali inatesa nitakuja nife

kama shida pombe
niko tayari kuacha
aje tuyamalize
si sawa mi kuniacha
kama shida pombe
sigara naacha
aje tuyamalize
si sawa mi kuniacha


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...