lirik lagu bahati – fanya mambo
(intro)
dk kwenye beat na bahati tena
teddy b
(chorus:bahati)
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu
(verse 1:dk kwenye beat)
pakatokea dhoruba kali ,ndio
mawimbi yanatisha hali, ndio
wagonjwa wametoka mbali
aaah fanya mambo
ile damu ya calvary ,ndio
bado fresh inafanya kazi, ndio
inaponya kwa kila hali
aaah fanya mambo
(chorus: bahati)
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu
(verse 2 bahati)
mwokozi w~ngu,i love you mmmmwah
mwokozi w~ngu,i love you mmmmwah
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
mwokozi w~ngu ,i love you mmmmwah
mwokozi w~ngu ,i love you mmmmwah
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
(chorus: bahati)
ju umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu
(verse 3: dk kwenye beat)
toka kitambo kitambo,unafanya mambo
toka kitambo kitambo,unafanya mambo
uligawanya bahari wewe,ulishinda farao wewe
uligawanya bahari wewe,ulishinda farao wewe
(chorus: bahati)
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu billy eckstine & his orchestra – i got a date with rhythm
- lirik lagu frytok & hariki – разрываю время (tearing up time)
- lirik lagu aime simone – give me love or give me nothing
- lirik lagu 11to – jack, el lavacar
- lirik lagu benjamin ingrosso – shores
- lirik lagu yaba buluku boyz – madam de madam
- lirik lagu שלמה ארצי – hakinorot – הכינורות – shlomo artzi
- lirik lagu eydrey – 4m0r m4ld1t0
- lirik lagu zibba & almalibre – margherita
- lirik lagu lil skies – out the way