lirik lagu bahati bukuku – heshima ya dhahabu
majaribu yamekuwa sehemu ya maisha yangu
eh baba nisaidie nitie nguvu
majaribu yamekuwa sehemu ya maisha yangu
eh baba nisaidie nitie nguvu
nafurahi sitahili maana naona lile
nafurahi sitahili baba maana ingine
mbele yangu baba naona mlima mkubwa baba
nashindwa kuendelea messiah
maadui zangu baba wameinuka sana
wanawinda roho yangu mchana na usiku
mbele yangu baba naona mlima mkubwa baba
nashindwa kuendelea eeh messiah
wanawinda roho yangu mchana na usiku
majaribu yamekuwa yakinichokora moyo
eh baba nisaidie nitie nguvu
majaribu yamekuwa msiba moyoni mw~ngu
eh baba nisaidie nitie nguvu
mbele yangu baba naona mlima mkubwa
nashindwa kuendelea eeh messiah
nyuma yangu baba naona simba
wanaowinda roho yangu
mbele yangu baba naona mlima mkubwa
nashindwa kuendelea eeh messiah
nyuma yangu baba naona simba
wanaowinda roho yangu mchana na usiku
kipa naskia sauti moyoni mw~ngu ikiniambia mwanangu songa mbele
kipa naskia sauti moyoni mw~ngu ikiniambia mwanangu sijakuwacha
kipa nafurahia aah ninaposoma neno lako
linanitia nguvu mimi
linanishidia majaribu
linanifanya niwe uhuru
mbele zako baba
nipo nak~mbuka ahadi zako mungu juu yangu
umesema nitashinda
umesema nitashinda
umesema utaniinua mbele ya adui zangu
nipo nakubumba eeh safari ya wanaisraeli baba
ni wewe uliyeshindia
ni wewe uliyewapigania
ninajua utanipigania na mimi nitashinda
ni wewe uliwashindia
ni wewe uliwapigania
na mimi ninajua utanipigania mbele ya adui zangu
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w~ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w~ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w~ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w~ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w~ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w~ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w~ngu nitashindwa
pekee yangu siwezi yesu
pekee yangu siwezi yesu
usiponishika mkono w~ngu nitashindwa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu maradara – everythingjustlikeme
- lirik lagu courtney cooper – body 2 body
- lirik lagu andrew gold – love hurts
- lirik lagu westley ellis – numb the hurt
- lirik lagu homeboy sandman – stand up
- lirik lagu na’kel smith – celine
- lirik lagu kiingthergors – niggas like us
- lirik lagu chuya – ali interlude
- lirik lagu blue alien – love don’t come easy
- lirik lagu ben eales – relationship