lirik lagu ambassadors of christ choir – nimekupata yesu
nime kupata yesu,
nimepata yote,
nimekupata bwana,
sitahitaji tena aah,
wewe, ndiwe hitaji langu,
ngome yangu na mwamba
tengemeo langu katika hali
jaza moyo w-ngu, upendo nikupende,
u rafiki wa kweli,
nifundishe kupenda aah,
bwana, maana upendo wako,
ndio pekee waweza,
kunifanya kiumbe kipya nikakufuate
natamani nitembee katika upendo wa bwana,
upendo ule wa dhati,
upendo husiobagua,
upendo uletao hekima, busara na amani,
upendo wakimbingu
pekee ulio bora
wapenzi wa kulia,
wengi ni wadanganyifu,
niwapo katika hali zuri tuko wote eeh,
lakini katika matatizo,
wote wanikimbia,
wewe nimekupata nitakushikilia
nakukaribisha bwana,
uyatawale maisha,
yetu yakila siku,
tufundishe kupanda aa, mbegu
za upendo wa dhati,
mwisho wa nyakati,
tuweze kuvuna matunda ya ukamili
kamilisha upendo, mungu aliohadaa
dumisha ndoa zao furaha itawale,
bwana, pembeni za unyonge na udhaifu,
wao familia iwe mw-nga wa mbingu ku
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu nct 127 – 롤러코스터 heartbreaker
- lirik lagu daniel 6aker & king libra – like me
- lirik lagu empi rouz – nada soy
- lirik lagu butrint imeri – kanga jote
- lirik lagu the roadside inn – 驕傲的紋路
- lirik lagu rymz – chrome
- lirik lagu old again – jenna
- lirik lagu chino xl – new
- lirik lagu bonde do forró – o primeiro amor
- lirik lagu insane clown posse – amber alert