lirik lagu ali kiba – let me
(yogo on the….)
aah eeh umependeza sana
wazidi kuniteka mzuri zaidi ya jana
hata ungekuwa na kasoro tungefanana
nimekupata wewe mapenzi ya rabana
wala si utani nikipanga plan huendani
shida ya shetani ya watume tuwaita furani
hao punguani hawajui tu kiundani
basi nikupe imani mbaya mie wako maishani
mama yeah yeah, pasha
bado movie ilo kasha
nizalie na mapacha
naomba usahau bubwaja
let me say, chaguo langu ni~we wewe
let me pray, nitakufa na wewe nitadedi na wewe
niko tayari me oh, me oh, ooooh
niko tayari me oh, me oh, eeeh
niko tayari me oh, me oh, eeh
niko tayari me oh
niko tayari me oh, me oh, me ooooh
oyoyoyo….
ya mungu ni mеngi
sikudhani nitapata penzi nimependa wеngi
nilikuwa uwanjani lakini nimevua jezi
nikang’oa nanga kwenda bongo nikafika mbenzi
nikuonyeshe
aliye na macho haambiwi tazama
yaani toto kaumbika kukukosa itakuwa lawama
eh na palipo na nia pia pana njia
we ndo w~ngu malkia tena taji nishakuvisha
ale mama yooo yooo (washa)
na mahaba yote (washa)
ni zawadi nimepata
roho imelia mbwata
aya yooo yooo (washa)
na mahaba yote (washa)
ni zawadi nimepata
roho imelia mbwata
let me say, chaguo langu ni~we wewe
let me pray, nitakufa na wewe nitadedi na wewe
niko tayari me oh, me oh, ooooh
niko tayari me oh, me oh, eeeh
niko tayari me oh, me oh, eeh
niko tayari me oh
niko tayari me oh, me oh, me ooooh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu varinder brar – violence
- lirik lagu manila grey – turbo
- lirik lagu bodhocker – rondasosa
- lirik lagu okwick – walking!
- lirik lagu lotus armor – delphi city 2/hi melsyra
- lirik lagu yung trey – stop playin’ (bonus track)
- lirik lagu kurt weill – barbara song
- lirik lagu binary mode – go away
- lirik lagu st-prince – belle (okok)
- lirik lagu antconstantino – (corte – rip) “marolento”