lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu alfayeed – moyo

Loading...

si unajua mangapi yalosemwa
na nishalia gizani
na maneno yanaumiza na kila ukirudi ndani ni tafrani
unaniumiza moyoo
na me nina moyoo
kwako me ni locoo
ayaa yaaa yaa

we ndio w~ngu unaniumiza moyoo
me kwako nitakuwa loyal
me nimetambua
me kwako siweziii ye yee yee
ohhh

aye take tua
mahaz mammiia
mi girl kazi ya sakatua
me gone so yayaah
meme yan unanichakachua
yani kifua a yah
yani me nina na nuua

ayaa yaa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...