lirik lagu zuchu - zawadi
[verse 1: zuchu]
mon chérie ‘je t’aime beacoup
penzi lako gundi, nimenasa
mon chérie, kama uchawi upo
mganga wako fundi ‘hasa hasa
eh, mwamvuli w~ngu
moyo umeufunika
(wewe ndo)
kiboko yangu
unaejua pakunishika
[pre~chorus: zuchu]
kama mapenzi pilipili
lako laniwasha in a good way
nishakupa moyo na mwili
uwe wako ‘uchukue
[chorus: zuchu]
pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo w~ngu
(ya upendo)
w~ngu, my love
pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo w~ngu
(ya upendo)
w~ngu, my love
(instrumentals)
[verse 2: dadiposlim]
oh, uooh, oh
ma chérie, chérie
mu ungiye baridi weni komeya
mi uka makini
matso yangu ye hu ono hu fumbariya
zidisha ye zana
bawe huni lisi yilikiki kazana
(kazana)
kama mapenzi pilipili
lako laniwasha in a good way
nishakupa moyo na mwili
uwe wako ‘uchukue
[hook: zuchu & dadiposlim]
njoo tucheze kompa (kompa)
oh, baby
(mh, mmh, aah)
we laizer wewe
aah, yah, yah, yah, yah
eeh, warere (wakacha)
wakacha (warere)
mh, mh, mh, mh, mh, aah
[outro: zuchu & dadiposlim]
baby, pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo wa…
ya upendo w~ngu, my love
baby, pokea (pokea)
zawadi, (zawadi)
ya upendo w~ngu
ya upendo w~ngu, my love
oh, my love
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yung poor alo - légère atonie
- lirik lagu los originales de san juan - el clavo (en vivo)
- lirik lagu william fitzsimmons - after afterall (2024 redux)
- lirik lagu adrian l santos & luis r conriquez - tristón
- lirik lagu rav - not wanted here [stream demo]
- lirik lagu mike demero & zagata - take me away (my love)
- lirik lagu duwap kaine - police
- lirik lagu iker cortez - baby lo siento
- lirik lagu edwin yearwood - party ah de year
- lirik lagu slop culture - dracula