lirik lagu zuchu - yalaaaa
Loading...
mmmmh kaniumbua umbua
anavyonidadavua
vitu flani vya kusisimua
chachambu anavyo ichambua
hunipa ning’ate ng’ate
mikato nikate kate
igande inate nate
itelezeshwe kwa matee
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
kanipania pania
na hajataka kuniachia
kanipania pania
na hajataka kuniachia
kama samaki hulumangia
huanza kichwa mpaka na mkia
naiomba serikali
kijana apelekwe mbali
ananifanya silali, siwazi, sitafakari
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu my little airport - 菊花的味道 (the taste of chocolate starfish)
- lirik lagu gülüstan əliyeva - dəyişmərəm
- lirik lagu cache flow - you think?
- lirik lagu anna fernandes - coragem
- lirik lagu sopa - dissonance emotionnelle
- lirik lagu the devil dogs - go on girl
- lirik lagu pentagon - cerberus
- lirik lagu dodo origami - help me
- lirik lagu le motif - tout va bien
- lirik lagu luch stefano - sex