lirik lagu zuchu - wana
[verse 1]
hunywi maji yakapita
me nkiguna ushafika
jina gani hujaniita baby
ushauri hutaki kabisa
eti uniache nna visa
vya vifarauni na musa vingi
nikilala naota kama unaniita
nafumba macho navuta shuka
naona napumbazika
unishikapo ndipo hapo nafarijika
mambo yako mahaba yako
ndo maana natononoka weee
[chorus]
wana wana wana wana
pale tulipokutana
mikono tukapeana
macho yakatizamana
wana wana wana wana
pale tulipokutana
namba kubadilishana
nafsi kukubaliana aah!
[verse 2]
nzi kidonda nimefia
wahenga walisema
maradhi yaweza yasiwe na dawa
kwa penzi yakapona
rabii amenipa nusura
jeuri sina tena
we ndo ganzi umenimaliza hasira
siumwi wakisema
nidekeze niliwaze
washushuke wanyamaze
nikuna nibembeleze
usinipepee nipulize
watuone wash~tuke
roho zao ziwaume
mi nipike ule chote
unenepe upendeze
[chorus]
wana wana wana wana
pale tulipokutana
mikono tukapeana
macho yakatizamana
wana wana wana wana
pale tulipokutana
namba kubadilishana
nafsi kukubaliana aah!
[outro]
ukitaka uniweze
nibebe wewe
ukipenda unibimbe unik~mbatie
hata watu watuone wakahadithie
nitambulishe niringe niwavimbie
ukitaka uniweze nibebe wewe
ukipenda unibimbe unik~mbatie
hata lizer atuone akahadithie
nitambulishe nitambe niwavimbie
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu valentina - restingheartrate
- lirik lagu veerus - médailles
- lirik lagu rontii - ghetto
- lirik lagu andie case - stone cold
- lirik lagu hydrakd - if i had
- lirik lagu sabino (rapper) - snub
- lirik lagu sleiman - le passé
- lirik lagu ocean florist - cellphone
- lirik lagu dat6paseur - for fun
- lirik lagu rome burns - war of the pygmies