lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zuchu - shika

Loading...

nani tron aaah tron (eyo tron)

iiiiih aaaaaah (iih iiih iih aaaaah)

iiiiih aaaaaah (iih iiih iih aaaaah)

(et nani kakojoa shuka imetota aah imetota shuka imetota)

leo nsingebaki ndani ata inyeshe mvua (inyeshe mvua )

sina sent k~mi yani ntadandia washua (aah washua)

kwani dj ni nani mbona anajua (anajuaaa)

kibeg nishikieni nataka kuuwa (basi uaa)

eh shika shika shika shika

eh shika shika shika shika

……….mmmh

police kamata wizi wanawaibia watu

police kamata wizi wanawaibia watu
muongeze ulinzi tule bata mpaka jumatatu

mtuache na walevi twalewa kwa hela zetu

shika shika shika (twalewa kwa hela zetu)

shika shika shika (twalewa kwa hela zetu)

…….mmmmh

ole le le olo lo lo

ole ole ole olo lo lo

ole le le olo lo lo

ole ole ole olo lo lo aaah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...