lirik lagu zuchu - nyumba ndogo
[verse 1]
ooh nkupe taarifa mwenzangu uuh uuh
yamenifika kwa koo
we mwanamke mwenzangu uuuh uuh
sema oooh oh oh nkupe taarifa mwenzangu uuh uuh
yamenifika kwa koo
we mwanamke mwenzangu uuh uuh
bwanako ~n~lalamika kila akija nyumbani
eti hujui kupika kula kwako hatamani
kw~ngu kalipenda tembele toto lainy lainy
shoga umenyimwa upole tajiri wa kisiranii
na samahanii samahani
mwanzoni sikujitambulisha mimi nanii
mie ndo mke mwenzio a.k.a nyumba ndogo
tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo
[chorus]
aah sina ubayaa sina ubaya nawee
aah ukinichukiaaa wanionea buree
ahh sina ubaya sina ubaya nawee
mke mwenza ukichukiaa wanionea buree
oo sina ubayaa sina ubaya nawee
ukinichukiaaa wanionea buree
[verse 2]
nasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
mke mwenza unanifaa mie nikiwa mwezini
kw~ngu haiwezekani kwako bwana anakaa
mambo kusaidiana wala usihuzunike
sikuhizi kusharе mabwana ndo fasheni kwa wanawake
eeh jitahidi chunga sana mwеnzangu usiachike
[chorus]
aah sina ubayaa sina ubaya nawee
aah ukinichukiaaa wanionea buree
ahh sina ubaya sina ubaya nawee
mke mwenza ukichukiaa wanionea buree
oo sina ubayaa sina ubaya nawee
ukinichukiaaa wanionea buree
[outro]
twendee nache nache nache nache nache
huu mchezo wa kichina zungusha kiuno cheko
we kichina zungusha kiuno chako
kama shepu huna pambana na hali yako
kama huna pambana na hali yako nasema masha zungusha we zungusha
sasa wanjara zungusha we zungusha
khadija kopa zungusha we zungusha
mama dangote zungusha we zungusha mamaa
hahahaha aaaa aaaa aaaa
we kama mzuka umepanda twende mpaka chini
eti nani sijamtaja aje acheze na mimi
na kama mzuka umepanda twende mpaka chini
eti nani sijamtaja aje acheze na mimi
twende changamkeni changamkeni changamkeni
apo kati changamkeni changamkeni changamkeni
na kulia cchangamkeni changamkeni changamkeni
kushoto changamkeni changamkeni changamkeni mamaaaaa haaaa
twende nache nache nache nache nacheza aah
nasema aii mmama aii mama
aii mama aii mama weee
andaa besee andaa bese
andaa bese andaa bese twende
mama andaa besee andaa besee
andaa bese andaa bese twende
utajijua mwenyewe utajijua mwenyewe
utajijua mwenyewe utajijua mwenyewe
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu the searchers - hully gully
- lirik lagu bageerov - вини меня (blame me)
- lirik lagu necrium - untitled
- lirik lagu julianno sosa - de finales contigo
- lirik lagu 稻葉浩志 (koshi inaba) - 愛なき道 (ai naki michi)
- lirik lagu unknown caller - forever
- lirik lagu nio garcía - tus poses
- lirik lagu phil kieran - my house (houseappela)
- lirik lagu nas - count me in
- lirik lagu 高中正義 (masayoshi takanaka) - taj mahal