lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zuchu - nimechoka

Loading...

[intro]
lalalalala lalala lalala
ooh ooh ooh
mr lg

[verse 1]
umenjengea k~mbuk~mbu
mbaya kwenye penzi lako
siwezi rudi hata unishikie bakora
nanena kwa machungu umentendea vibaya
mi, mwana mwenzako
kwa makusudi furaha umenipora
aah, asante umenifunza
nionapo njia mbili nichague ya kuvuli
mimi, mi sio wa kwanza kuumizwaa
wanatendwa matajiri, sembuse mi wa sifuri

[pre~chorus]
aah, na nakujua kwa k~msingizia shetwani
huyo ni wewe, ni wewe, ni weewe
ukinik~mbuka usijipigishe yutaniii
uniache mwenyewe
mwenyewe, mwenyewe niache

[chorus]
nimechoka, nimechoka
nimechoka, baasi
nimechoka, nimechoka
nimechoka, baasi
[verse 2]
eh,hasira
hasira ndo maradhi yangu
hasira, nimepoteza muda w~ngu
jamani hasiiira, hasira ndo ugonjwa w~ngu
hasira, nimepoteza lengo langu
sitamani sitamani makosa niyarudie
isiwe desturi yangu kuuchuza moyo uumie
bora nirudi nyumbani pemba wanitambikie
nifungwe akili yangu, mawazoni nikutoe

[pre~chorus]
ooh maana nakujua kwa k~msingizia shetwani
huyo ni wewe, ni wewe, ni weewe
ukinik~mbuka usijipigishe yutaniii
uniache mwenyewe
mwenyewe, mwenyewe niache

[chorus]
nimechoka (nimechoka), nimechoka (nimechoka)
nimechoka, basii (we shika zako nami nishike zangu)
nimechoka (nimechoka), nimechoka (nimechoka)
nimechoka, basii


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...