lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zuchu - nani remix

Loading...

innos
chu chu chu chu

[verse 1 : innoss b]
kebo na bise elinge banda (esie bandi)
kebo na mbiso bayuma bakota kate (esie bakoti)
cababwe eh cababwe na katya bulletin
soda eh soda mundu kyakaka
nakeba dajuma naguzi babeti boteka
nakena mabono na money babeti boteka
bomba bomba bomba sukalu
bomba bomba eh bomba butamu
mama lobagi yekolako lukabwona

[chorus : zuchu]
eh nani anaweza kulicheza sagarumba
mimi ninaweza kulicheza sagarumba
nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
maftaaa taa mafta taa mafta taaa
yamemwagika yamemwagika yamemwagika
mpaka chini mpaka chini mpaka chini
amina, amina na mwajuma
wanaringa hawa kima
k~mbe wanauza… (usiseme hivyo)
[verse 2 : zuchu]
kilode kilode kilodee
watoto wadogo wanataka nipotee
haa! labda nif~kiwe chini wala wasiwaongopee
hee! shindo langu mimi mjikusanyе wote
haya sema shkamoo dada (shkamoo dada)
shkamoo kaka (shkamoo kaka)
mniamkie shkamoo mama (shkamoo mama)
shkamoo baba (shkamoo baba)

[bridge : zuchu]
aluluе alulueee (alulue alulueee)
aah kama mtu hachezi mzabue (tumzabue tumzabue)
sema alulue alulueee (alulue alulueee)
kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe)

[chorus : zuchu]
eh nani anaweza kulicheza sagarumba
mimi ninaweza kulicheza sagarumba
nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
aah twende maftaaa taa mafta taa mafta ta (yana nini)
yamemwagika yamemwagika yamemwagika (eti mpaka wapi)
mpaka chini mpaka chini mpaka chini (mamaaa)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...