lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zuchu - mama

Loading...

[intro]
heh! zuchu, chu, chu, chu
gogu (ayo lizer)

[verse 1]
mmh, rafiki yangu kwenye shida
rafiki yangu kwenye raha
niko nae kila mida, hajawahi nikataa
yuko radhi mi kushiba, yeye ndo ashinde njaa
sio mwengine ni mama
labda nkupe picha
uone nafasi yako maana
nikikukosa kwenye maisha
eh~eh, kiukweli itanichanganya, eh~eh~eh

[pre~chorus]
mitihani
yake yangu mimi
nikulipe nini
kiasi gani mi sioni, oh, mama

[chorus]
mama, i love you, mama
mama, nakupenda sana
mama, i love you, mama
mama, nakupenda sana
[verse 2]
eh, mola uliejaa rehema natanguliza shukrani (asante)
bila huyu mama mwema ngekua mgeni wa nani (asante)
mnaowavunjia heshima nyie munawezaje kwani
mimi w~ngu akinuna, moyo unakosa amani

[pre~chorus]
mitihani
yake yangu mimi
nikulipe nini
kiasi gani mi sioni, oh, mama

[chorus]
mama, i love you, mama
mama, nakupеnda sana
mama, i love you, mama
mama, nakupenda sana

[outro]
hey, mamangu njoo tuchеze kandili (kandili katikatikati katikati)
mmamangu cheza kandili (kandili katikatikati katikati)
tingisha kiwiliwili (kandili katikatikati katikati)
kakaka (kandili kati)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...