lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zuchu - makonzi

Loading...

[intro]
lg ih
lg ah, ah ah
mr lg

[verse 1]
ndo kakwambia ataniacha
haha hehe unachekesha sana
hizo ni ndoto za alinacha
haha hehe anakundanganya
hata umpe nini
hunin’goi unajisumbua mwaya
huyo bila mimi, hatoboi
nimemshika pabaya

[pre chorus]
we chezewa ukimaliza kwenda
hatuachani kisa ujinga
we chezewa ukimaliza kwenda
hatuachani kisa ujinga
na nikikukuta nae

[chorus]
patachimbika
nitakutia makwenzi
nitakutikisa
patachimbika
nitakutia makwenzi
nitakutikisa
[verse 2]
kwanza unitambie umenizidi nini
kubattlle na mie
uje na wenzako tisini
uliza uambiwe
mimi mtoto wa nani (kapaa)
ukijifanya chawa
mi mwenzako kunguni
huna nini ?
huna jipya nenda kwa mwampopo
kikisafishwa labda ndo upate soko
huna nini ?
huna jipya nenda kwa mwampopo
kikisafishwa labda ndo upate soko

[pre chorus]
we chezewa ukimaliza kwenda
hatuachani kisa ujinga
we chezewa ukimaliza kwenda
hatuachani kisa ujinga
na nikikukuta nae

[chorus]
patachimbika
nitakutia makwenzi
nitakutikisa
patachimbika
nitakutia makwenzi
nitakutikisa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...