lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zuchu - i don't care

Loading...

[intro]
trone basi tulikunje
zuchu chu chu chu chu
ayo trone

[verse 1]
maneno yenu, sio msumari
kusema kwamba yatanitoboa
na tena wala, wala sijali
sioni jipya la kunikomoa

mnachojua majungu
binadamu mnachosha
akishanipenda mungu
na mama yangu inatosha

money on my mind, god on my side
sina muda, muda wa negativity
money on my mind, god on my side
sina muda, muda wa negativity

nyi mkinisema~sema mjue ndo napenda
nyi mkinisema~sema mjue naona raha
nyi mkinisema~sema mjue ndo napenda
nyi mkinisema~sema mjue naona raha
[chorus]
i don’t care
i don’t care
i don’t care
i don’t care

[verse 2]
riziki yangu ndandunda
ila mi wa leo sio wa jana
kweli sijavuna matunda
ila walao hawakosi mlo mama
na wenzangu nawatunza
ndoto zao ziweze fana
japo shukrani ya punda
wakishapata wanantukana

mnachojua majungu
binadamu mnachosha
akishanipenda mungu
na mama yangu inatosha

money on my mind, god on my side
sina muda, muda wa negativity
money on my mind, god on my sidе
sina muda, muda wa negativity
nyi mkinisema~sema mjuе ndo napenda
nyi mkinisema~sema mjue naona raha
nyi mkinisema~sema mjue ndo napenda
nyi mkinisema~sema mjue naona raha

[chorus]
i don’t care
i don’t care
i don’t care
i don’t care


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...