lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu zuchu - hasara

Loading...

[intro]
haaaah haaah mhhh
mr lg
mhh mhhhh
haaaah

[verse 1]
mi staki tuongee
moyoni nna machungu machungu
nsije tenda dhambi mhh
ila chozi la mnyonge
malipo ni kwa mungu kwa mungu
bora nihame kambi
mmhh mhh
kama subira ina mwisho
ina mwisho wake manaa
asali umeimaliza mzinga
ukanifanya tahira
suluhisho nimeona kwako hamnaa
moyo w~ngu si wa mninga najitoa
tunagombana kwa vitu vidogo
kosa si kosa unageuka mbogo
huna dogo wewe
hunipendi unang’ong’a kisogo
punda siendi eti bila magongo
mpenda zogo wewe
[bridge]
kukupenda tenaa sitakii
nimekomaaah sitakii
kukuonaa sitakii
mhhh
narudia tena sitakii
kukuonaa sitakii
nimekoma sitakii

[chorus]
bora nihesabu kua penzi nimepata
hasara haa ooh hasara!
hasara haa
hasara hasara
hasara roo penzi limekwenda zake
hasara haa (hasaranii)
hasara haa (hasarani)
hasaraa hasaraa

[verse 2]
kina cha mmaji matitu
ukaniacha bila boya nijifie
kosa langu nini
mchana nauona ka usiku
nachacha nyie maumivu muyasikiee
yasiwakutenii
hiiiiiiih!
na kama halbadirii ya mbayana umeniumbua
umeniadhiri umeniacha mnyama na nguo uumenivua
[bridge]
kukupenda tenaa sitakii
nimekomaaah sitakii
kukuonaa sitakii
mhhh
narudia tena sitakii
kukuonaa sitakii
nimekoma sitakii
heeeee
bora nihesabu tu kama nimepata

[chorus]
hasara haa (ooh hasaraa)
hasaraa haa (hii hasaraa)
hasara hasaraa
hasara roo penzi limekwenda zake
hasara haa (hasaranii)
hasara haa (hasarani)
hasaraa hasaraa

[outro]
kamix lizer
heeee ahhh ahaa haha
aaaah haa ha haha
aaah haha ha ha aaaah
bora nibaki naliaa
haaa haha ha (heeee ahhh)
haaa hahaa (noo no noo no nono)
mhhh mhhh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...